Aina mbalimbali za bidhaa zetu

Bidhaa bora za kilimo zinazozingatia uendelevu kutoka Tanzania

Bidhaa zetu zinalimwa kwa viwango vya ubora wa juu, kuhakikisha zinakidhi mahitaji ya masoko ya ndani na ya kimataifa. Tunajivunia kutoa bidhaa zinazochangia mafanikio ya washirika wetu na kuridhisha wateja wetu.

Tobacco Field
Kilimo & Mifugo

Aina mbali mbali za Tumbaku na kuku wa kienyeji

Legumes Field
Mazao ya Jamii za Kunde

Mazao ya Jamii za Kunde kama maharage, dengu, choroko n.k

Root crops Field
Mazao ya Mizizi na Viazi

Mazao ya Mizizi na Viazi kama viazi vitamu, viazi mviringo, mihogo n.k

Perishable crops Field
Mazao Yanayoharibika Haraka

Mazao yanayoharibika haraka kama parachichi na ndizi.

Cereals Crops Field
Mazao ya Nafaka

Mazao ya nafaka kama mahindi, mtama, ngano na mpunga.

Spices
Viungo

Viungo kama tangawizi, karafuu, mdalasini, na pilipili.

Maulizo ya Bidhaa

Tafadhali tuma maulizo yako kuhusu bidhaa zetu, ushirikiano, au masuala yoyote.